Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 247
Wakuu samahani nataka nitafute madogo wawe wana niuzia mayai ya kuchemshwa yaani wale wanaozungusha mitaani.
Najua kuna sehemu naweza pata trei kwa 7000 (bei ya jumla), Mimi najumua alafu nachemsha na kuwapa madogo watembeze mtaani, ninajua kama atauza mayai yote 30 atakuwa na 15000 .
Sasa sijajua huwa wanalipwa shilingi ngapi kwa trei ili nione jinsi ya kugawana nao faida vizuri ili wawe na morali ya kufanya kazi. naomba anaejua kiasi ambacho huwa wanalipwa aniambie.