Biashara ya Mayai ya Kuchemsha

Biashara ya Mayai ya Kuchemsha

Bongo Trust

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
253
Reaction score
247
Wakuu samahani nataka nitafute madogo wawe wana niuzia mayai ya kuchemshwa yaani wale wanaozungusha mitaani.

Najua kuna sehemu naweza pata trei kwa 7000 (bei ya jumla), Mimi najumua alafu nachemsha na kuwapa madogo watembeze mtaani, ninajua kama atauza mayai yote 30 atakuwa na 15000 .

Sasa sijajua huwa wanalipwa shilingi ngapi kwa trei ili nione jinsi ya kugawana nao faida vizuri ili wawe na morali ya kufanya kazi. naomba anaejua kiasi ambacho huwa wanalipwa aniambie.
 
Ukiwa na mtaji mdogo usifanye kazi na watu wengi tafuta biashara ambayo ww mwenyewe ndo utashiriki 100% full stop, Utakuja kulia na wabongo.
 
Ukiwatoa Kigoma au Tabora mkuu ingependeza mno
 
Upo Mkoa, Wilaya, Kata, Tarafa, Kijiji, Kitongoji

Watu Wakija Wakupe Uelekeo Wa Tanzania

Budget Imesomwa Leo Ni Chachu Sana
 
Ukiwa na mtaji mdogo usifanye kazi na watu wengi tafuta biashara ambayo ww mwenyewe ndo utashiriki 100% full stop, Utakuja kulia na wabongo.
Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom