Biashara ya Mazao au Nguo

Joined
Apr 7, 2023
Posts
6
Reaction score
6
Ndugu zangu,

Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo?

Naombeni ushauri jamani nipo Geita.
 
Biashara zote ni bora inategemea na unaiendeshaje, ila kwangu biashara ya nafaka ni bora zaidi
 
Nasema nataka ni Bora zaidi ! Kwanini nitafute
 
Ndugu zangu,

Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo?

Naombeni ushauri jamani nipo Geita.
Kikubwa ni elimu katika biashara husika.

Zote zinalipa lakini pia zote zinaweza kukuangusha vibaya.

Angalizo; Biashaa ya nguo unatakiwa uwe smart sana.
 
cheza na nafaka kama hutaki kumiza kichwa juu ya biashara isiyo oza wekeza kwenye vipuri vya mapikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…