Biashara ya Mazao na nchi jirani

Biashara ya Mazao na nchi jirani

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Kenya zipo dalili ya mavuno haba baada ya mvua kutonyesha kwa kiwango cha kuridhisha. Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao tunaomba mutujuze taratibu,faida,changamato ya biashara kuuza mazao hasa mahindi na mchele soko la Kenya. Shukurani.
 
Ukipata taarifa zozote zimwaga nami nawazo kama lako akini sijui pakuaanzi kuhusu soko la mahindi
 
Back
Top Bottom