simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kenya zipo dalili ya mavuno haba baada ya mvua kutonyesha kwa kiwango cha kuridhisha. Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao tunaomba mutujuze taratibu,faida,changamato ya biashara kuuza mazao hasa mahindi na mchele soko la Kenya. Shukurani.