simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 May 26, 2014 #1 Kenya zipo dalili ya mavuno haba baada ya mvua kutonyesha kwa kiwango cha kuridhisha. Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao tunaomba mutujuze taratibu,faida,changamato ya biashara kuuza mazao hasa mahindi na mchele soko la Kenya. Shukurani.
Kenya zipo dalili ya mavuno haba baada ya mvua kutonyesha kwa kiwango cha kuridhisha. Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao tunaomba mutujuze taratibu,faida,changamato ya biashara kuuza mazao hasa mahindi na mchele soko la Kenya. Shukurani.
tansoma JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,209 Reaction score 580 Jun 14, 2014 #2 Ukipata taarifa zozote zimwaga nami nawazo kama lako akini sijui pakuaanzi kuhusu soko la mahindi