Biashara ya mbao ngumu - hard woods _ export grade

Biashara ya mbao ngumu - hard woods _ export grade

Edylux

Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
48
Reaction score
9
Salaams wana JF,

Wauza mbao wa hapa Tanzania, nahitaji mbao zote ngumu kwa ajili ya kupeleka nje.

Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji,
au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.

Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga, Teak (mtiki) na nyingine nyingi:

Size; (1" - 4") x (10" - 12") x (8' - 10').
unene; upana; urefu.

Kwa kuanzia nahitaji cubic meter 20 za kila aina.

Naomba bei hadi kiwandani/bandarini Dar kwa cubic meter au kwa ubao, na utaratibu wa malipo.

Ahsanteni,
Edylux
 
Nenda Keko Magurumbusi kwa wauza mbao watakupa information.
 
Back
Top Bottom