nyigo Jn.
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 269
- 94
Oky mkuu soko lenu huko lipo chini kidogo kuna ahueni kidogo sema sijajua transport gar kubwa ikipakia hapo mpaka dar ni sh ngap? Kwa uzoefu wako kwa mchanganyiko wa 2*4 2*6 1*6 1*8 1*10 gar inaweza pakia pics ngapi?Wakuu samahanini kwa kuwa mbali na uzi kwa muda. Michongo ya porini sometimes ndio inatuweka mbali na net. Hizo bei ni ktk soko la Makete mjini namaanisha ndani ya mji mdogo wa Iwawa ambako ndio makao makuu ya wilaya ya Makete. Yaani namaanisha mitaa ya Ndulamo, Ludihani, Ivalalila, Mwongolo, Mpangala, Dombwela na Maleutsi. Pamoja na vijiji vya pembeni kidogo ya mji kama Kisinga, Mago, Ugabwa, Ivilikinge, Isapulano na Ujuni.