Biashara ya mbao Vs Ufugaji wa kuku

Biashara ya mbao Vs Ufugaji wa kuku

Wakuu samahanini kwa kuwa mbali na uzi kwa muda. Michongo ya porini sometimes ndio inatuweka mbali na net. Hizo bei ni ktk soko la Makete mjini namaanisha ndani ya mji mdogo wa Iwawa ambako ndio makao makuu ya wilaya ya Makete. Yaani namaanisha mitaa ya Ndulamo, Ludihani, Ivalalila, Mwongolo, Mpangala, Dombwela na Maleutsi. Pamoja na vijiji vya pembeni kidogo ya mji kama Kisinga, Mago, Ugabwa, Ivilikinge, Isapulano na Ujuni.
Oky mkuu soko lenu huko lipo chini kidogo kuna ahueni kidogo sema sijajua transport gar kubwa ikipakia hapo mpaka dar ni sh ngap? Kwa uzoefu wako kwa mchanganyiko wa 2*4 2*6 1*6 1*8 1*10 gar inaweza pakia pics ngapi?
 
Inategemea unataka kufanya biashara ipi kati ya hizi: 1. Kununua miti na kupasua na kuuzia huku huku mashambani 2. Kununua miti kupasua na kusafirisha kwenye masoko ya mbali i mean mijini. Au kununua mbao na kuzisafirisha mijini. Unataka ipi kati ya hizo?
Kununua mbao na kupeleka Arusha
 
Oky mkuu soko lenu huko lipo chini kidogo kuna ahueni kidogo sema sijajua transport gar kubwa ikipakia hapo mpaka dar ni sh ngap? Kwa uzoefu wako kwa mchanganyiko wa 2*4 2*6 1*6 1*8 1*10 gar inaweza pakia pics ngapi?
Unaposema gari kubwa unamaanisha tani ngapi? Swali lako naomba nilijibu kesho kwa uhakika kabisa. Maswali zaidi ni pm nikupe namba kwa mawasiliano zaidi.
 
Kwa nyongeza zaidi kama kuna mtu ana gari la mizigo na lipolipo kwa sababu ya ukosefu wa mizigo naomba niwape ushauri kuwa tafuteni masoko ya mbao ya uhakika kabisa kisha nitafuteni niwaonyeshe njia tufanye biashara. Hata kwa wale wenye pesa zina kaa tu bank tutafutane.

Mimi mtu akiniazima shilingi milioni 5 kila mwezi ntakuwa nampa riba ya shilingi laki tatu kwa maandikishano ya kisheria kwa udhamini wa mali ya zaidi ya eka mia za miti iliyo sehemu salama. Pesa zipo nje nje wakuu mwenyewe ataona fursa inamfaa tuwasiliane.
 
Weka figure hapa kwa ajili ya wengi:

1. Mzigo kununua
2. Nyaraka
3. Usafirishaji

Jumla inaweza kugarimu kiasi gani?
Nmekupata vema mkuu na swali lako lenye vipengere mhimu. Naomba nikuombe kesho saa nne au saa tano nitawasilisha taarifa mhimu hapa mezani kwa faida ya wengi. Nimeomba nipewe muda huo kwa kuwa taarifa za vipengere vingine ziko nnje ya uwezo wangu kwa muda huu. Sababu mimi nimezoea kupasua mbao na kuwauzia wateja wapelekao masoko ya mbali.
 
Powa mkuu
 
.
Mkuu mambo vp? Mimi nataka hapo kwenye kununua mbao vijijini na kuleta mjini, mtaji unahitajika kiasi gani kwa kuanzia?
Inategemea unataka kufanya biashara ipi kati ya hizi: 1. Kununua miti na kupasua na kuuzia huku huku mashambani 2. Kununua miti kupasua na kusafirisha kwenye masoko ya mbali i mean mijini. Au kununua mbao na kuzisafirisha mijini. Unataka ipi kati ya hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmekupata vema mkuu na swali lako lenye vipengere mhimu. Naomba nikuombe kesho saa nne au saa tano nitawasilisha taarifa mhimu hapa mezani kwa faida ya wengi. Nimeomba nipewe muda huo kwa kuwa taarifa za vipengere vingine ziko nnje ya uwezo wangu kwa muda huu. Sababu mimi nimezoea kupasua mbao na kuwauzia wateja wapelekao masoko ya mbali.
Bado tunasubiri taarifa yako mkuu!
 
Mkuu Sasa hivi bei ya 1*4*12 ni Tsh ngapi na vipi kuhusu usafiri mpaka Dodoma?
 
Mkuu Sasa hivi bei ya 1*4*12 ni Tsh ngapi na vipi kuhusu usafiri mpaka Dodoma?
Acha nikupe bei ya pines mlingoti ntakupa kesho nikisha thibitisha taarifa za uhakika. Ubaya wewe hujaweka mbao kwa vipimo. Mm ntaanzia mbao ndogo kuja kubwa kwa pines: 1*4*12= tshs 900. 2*3*12=tshs 1500. 1*6*12= tshs2000. 2*4*12=tshs2500. 2*6*12= tshs3800. 1*8*12=tshs4600. 1*10*12=tshs9000. Zingatia hiyo star imetumika kama mara, yaani mfano inch 1 mara 4 mara futi 12. Nadhani umenielewa.
Nahitaji bei
 
Karibu makambako,soko kuu la soft wood

Mimi nafanya hii biasha ra,inaliap sana ila kwa hivi karibuni imesuasua kidogo,

Sasa hivi kununu eka moja ya miti ya pine ni cheep sana, maaeneo ya kununua ni Vijij vilivyo ndani ya tarafa ya Lupembe mkoa wa Njombe.
mkuu, huko njombe heka yakukodi kwaajili ya kilimo cha mbao ni sh ngapi?, mbao inachukua muda gani kukomaa, na katika heka kuna miti mingapi? unapanda
 
mkuu, huko njombe heka yakukodi kwaajili ya kilimo cha mbao ni sh ngapi?, mbao inachukua muda gani kukomaa, na katika heka kuna miti mingapi? unapanda
Kukodi sijui ila miti iliyopandwa vizuri Kwa nafasi kufikia miaka nane unakuwa kubwa kubwa ila kama una njaa unaweza subili hadi miaka 12 hadi 15 inakuwa imekuwa vizuri
 
Habari wana JF.

Nimekuja mbele yenu nikiamini kwenye jukwaa hili nitapata msaada wa biashara hizi mbili kati ya ufugaji wa kuku au biashara ya mbao ipi the best kuanzia kwenye changamoto za soko na utendaji wake usimamizi nk.

Nimekua na sinto fahamu juu ya hizi fursa 2 ipi yenye good future malengo ni kufanya big project.

Ila bado sijapata mwangaza niifanye ipi?

--Kama ufugaji malengo nifuge kuku chotara aina ya Kroilers niwazalishe mwenyewe then wakikua baada ya miezi 5 niwauze I mean vifaranga nitazalisha mwenyewe.

--Kama biashara ya mbao nitanunua chensor nitawaajiri vijana tutakata vibali tutaingia msituni nakuanza kukata mbao.

Nahitaji neno kutoka kwenye wana JF.
Fuata mbao ukipata location nzuri utakuja nishukuru
 
Kukodi sijui ila miti iliyopandwa vizuri Kwa nafasi kufikia miaka nane unakuwa kubwa kubwa ila kama una njaa unaweza subili hadi miaka 12 hadi 15 inakuwa imekuwa vizuri
Sawa na faida yake ikoje ikoje kwenye hiyo biashara,

Yuchukulie una mitii miaka 15 kwenye shamba la heka 1
 
Back
Top Bottom