Biashara ya mbao

Biashara ya mbao

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Wakuu habarini

Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
 
Sijaelewa vizuri ni kwamba unauza shamba na miti yake ama unauza miti tu .hebu weka sawa km hutojali...
 
Back
Top Bottom