Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Ni Ushauri wa biashara ya mbuzi kwa atakaeiweza.
Mimi ni mkaazi wa Zanzibar. Kama kuna mtu yupo tayari kufanya biashara hii ya mbuzi kipindi cha skukuu ile ya kuchinja huku Zanzibar wanalipa sana.
Wewe unachotakiwa kufanya ni kulisha mbuzi wako vizuri na uhakikishe wamenenepa vizuri. Kwa kipindi hicho cha sikukuu ya kuchinja mbuzi mmoja anauzwa laki moja sabini mpaka laki 2 na kitu inategemea na ukubwa wa mbuzi.
Mbuzi aina ya beberu ndo wanaopendwa zaidi kuliko mbuzi wake. Kwahiyo alokua tayari kufanya biashara hii ni yeye mwenyewe tu.
Mimi kama mwenyeji ukija na mbuzi wako nitakusaidia kutafuta wateja kipindi hicho.