Biashara ya mbuzi

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamaaa kazinguaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nji Njoo Dodoma Mpwapwa vijijin upate mbuzu 25-40 Bei murua kabisa
 
nenda pale pugu mbuzi kibao kafanye upelelezi pale.
 
Sasa Mimi soko la Dar nitakusaidiaje? Tuma pesa huku kwetu MEATU nikununulie mbuzi mmoja unaweza kumpata kwa bei ya kati ya 30-50 elfu! Commission yangu itakuwa bei gani? usafiri ni fuso na bei ni mawelewano!
Meatu ipi ngosha, tindabuligi, bukundi mwambegwa, ng'wanhuzi au wapi baba
 
Wanajamii mambo vipi? Bila shaka mu wazima Sana. Niko hapa leo nikiomba kueleweshwa juu ya biashara ya kununua mbuzi kutoka mikoani na kuwaleta Dar.

Mara nyingi nimekuwa nikiona magari yakiingiza mbuzi mjini lakini hao watu Sina ukaribu Wala siwezi kuwakaribia coz wako katika movement ya magari.

Sasa naombeni wenye uzoefu kidogo kuhusu hili , faida, changamoto nk.

NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Sina uzoefu nayo sana ila kama upo Dar jaribu kutembelea kwenye machinjio kama ya Kimara stop over
 
Kaka naomba unielekeze hiyo sehemu 0713429903
 
Biashara hiyo inataka moyo,mbuzi wakifika sokoni wanakaa sana,waweza maliza wiki hapo,
 
Kama uko mbuzi 25-40 nataka mbuzi 50 waje dar usafiri ushuru njiana inakuaje
 
Kama uko mbuzi 25-40 nataka mbuzi 50 waje dar usafiri ushuru njiana inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…