Biashara ya mbuzi

Biashara ya mbuzi

Sasa Mimi soko la Dar nitakusaidiaje? Tuma pesa huku kwetu MEATU nikununulie mbuzi mmoja unaweza kumpata kwa bei ya kati ya 30-50 elfu! Commission yangu itakuwa bei gani? usafiri ni fuso na bei ni mawelewano!
Yaani ndugu yangu kuniambia tu meatu kuna mbuzi na bei ni kiasi hiki ulikuwa inatosha suala la kwamba nitakutumia pesa ili uninunulie sidhani kama ni wazo kwa mfanyabiashara na mtafiti kwangu Mimi ni muhumi kufika na kujionea hali halisi huku nikijufunza asante kwa ushirikiano
 
Yaani kaktika watu wavivu wewe ni namba moja. Uko Dar hujui hata masoko ya mbusi yako wapi!
Itakuwa ngumu sana klusaidia mtu kama wewe.

Ili kukusaidia, fanya utafiti ujue kwa Dar soko olikoje ukisha pata jibu, njoo nitakuelekeza maeneo ambayo unaweza kununua mbuzi hadi kwa elf 15
Nashukuru kwa mtazamo wako ni kweli nipo DSM na nilichotaka ni kulinganisha bei KUHUSU uvivu bado naheshimu ulichokitafakar ila Mimi naheshimu nguvu ya mitandao kwa sababu mitandao hii imetuwezesha kufikisha mawazo yetu mahali ambapo tusingeweza kufika kwa miguu yetu asante sana ndugu kama mjasiliamali nahitaju kujifunza kuwasiliana na mteja ambae hutumia lugha za maudhi na wakati mwingine asiye elewa kwa urahis nakushukuru kwani pia aliguswa na kutumia muda kunijibu tuendelee kushirikiana
 
Habar za muda wadau wa jamii forum heri ya mapumziko ya jumapili na Siku ya ibada pia

Nimejitokeza kwa mara nyingne tena kuuliza kwenu wadau ambao mshewahi kufanya Biashara hii ya mbuzi kwa DSM na hii inafuatia kufanya utafiti maeneo niliyopo na kukutana na maswali ambayo naomba msaada kwenu na nipo tayar kupokea changamoto zozote kutoka kwenu kwa kuwa naamin uwepo wenu humu unatusaidia kuweza kufikisha mawazo na mitazamo yetu sehemu ambayo hatuwez kufika kwa miguu yetu nakuomba unachokifahamu share ili tusaidiane

Naomba kuuliza yafuatayo
- ni maeneo gani kunapatikana mbuzi wakubwa wanaofaa kwa Biashara na bei zake zikoje ingawaje zinatofautiana na msimu

-usafirishaji kutoka huko kwa mbuzi mmojamoja ni kiasi gani na upokewaji wake hufanyikaje

-Bei ya kuuza mbuzi mmoja au jinsi anavyonunuliwa haswa na wadau wenye majiko ya nyama choma na bei hii nikimaanisha anavyouzwa mnadani na kwa MTU wa jiko

-kuna utofauti kati ya mbuzi wa supu na mbuzi wa nyama na tofauti ikoje

Karibuni wadau tupeane faida na tukomboane na hali ya maisha ya sasa
 
. Kwetu Dom mbuzi wengi sana vijijini bei kuanzia 40 mpk 70 mbuzi mkubwa kabisa
 
Bila shaka kutakua na kibali kwenye mambo ya kusafirisha wanyama( nimedhani tu sina hakika)
 
Sasa Mimi soko la Dar nitakusaidiaje? Tuma pesa huku kwetu MEATU nikununulie mbuzi mmoja unaweza kumpata kwa bei ya kati ya 30-50 elfu! Commission yangu itakuwa bei gani? usafiri ni fuso na bei ni mawelewano!
Naomba tuwasiliane mkuu!
 
Jaribu kwenda pale vingunguti utaweza kupata abc kuhusu ununuzi mpaka uuzwaji
 
Habari wadau wa mifugo,mikoa ya kusini hasa mtwara kuna mahitaji makubwa sana ya nyama ya mbuzi.

Licha mahitaji makubwa usambazaji wa mbuzi uko chini sana,nimepata taharifa,mbuzi wanaoliwa mtwara 90% wanatoka tabora,kigoma.

Hawa jamaa wanaoleta mbuzi ni mtwara wanatoka Tabora ni wanyamwezi,wanaleta mbuzi 300+ ila ndani ya siku 2 wanamaliza.

Inachukua wiki3 hadi 4 kuleta wengine,hii inapelekea uhaba mkubwa sana,ni nafasi kwa wafugaji,kondoo na mbuzi ni biashara nzuri kwa mikoa ya kusini.

Bei mbuzi dume mkubwa ni 180k+
Jike 90k+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli labda kipindi cha mavuno ya korosho
 
Unachosema mlet uzi kina ukweli ndani yake.
mwaka jana nilikuwa huko, yaani unaweza kutembea miles and miles usione mbuzi wala ng,ombe njiani. hii inamaanisha hivi vitu ni adimu.
 
Inawezekana wamakonde hawana molali na ufugaji,nilikuwa kule yapata miezi kama minne sikuwahi kuona kuku,mbuzi wala Ng'ombe.....Wamelizika na kilimo chao cha korosho,Halafu wamakonde wengi walivyo ni kama mamwinyi
 
Back
Top Bottom