JAY THE SON
Member
- Nov 26, 2017
- 43
- 33
Yaani ndugu yangu kuniambia tu meatu kuna mbuzi na bei ni kiasi hiki ulikuwa inatosha suala la kwamba nitakutumia pesa ili uninunulie sidhani kama ni wazo kwa mfanyabiashara na mtafiti kwangu Mimi ni muhumi kufika na kujionea hali halisi huku nikijufunza asante kwa ushirikianoSasa Mimi soko la Dar nitakusaidiaje? Tuma pesa huku kwetu MEATU nikununulie mbuzi mmoja unaweza kumpata kwa bei ya kati ya 30-50 elfu! Commission yangu itakuwa bei gani? usafiri ni fuso na bei ni mawelewano!