Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
Unaweza kujikuta unapata kazi hivihivi kupitia jukwaa hiliOperator nipo hapa Kama una excavator
Unaweza kujikuta unapata kazi hivihivi kupitia jukwaa hili
Asante kwa ushauri huu. Kumbe inabidi kula na wengi. Ujaribu kuwashika ili mambo yakae vzr.Biashara ya kuchimba mchanga kwa juu juu inaonekana ina faida ila kiundani figisu nyingi sana.
Kuna jamaa yetu alifanya biashara hiyo mkuranga, kwa kifupi lazima ule uwe na koneksheni na maliasili, wadau wa mazingira, madiwani, halmashauri, wenyeviti wa mitaa/vijiji na wajumbe wa serikali za mitaa.
Uendelevu wa biashara ya mchanga kama mmiliki wa machimbo au mgodi unaweza ukaingia dosari kama moja wapo wa hao wadau tajwa hapo juu wasipo nufaika na mradi wako. Kwa hiyo ni biashara fulani ya kimchongo mchongo ingawa ukiwa umejipanga na unachanga karata zako vizuri ukiwa na soko au miradi mikubwa ya ujenzi itakulipa kwa wakati na sio kutegemea wateja binafsi.
Mkuu huko mvuti na chanika maeneo ya kuchimba yanapatikana?Nenda chanika mvuti uko utakuta kila kitu kipo swa au maeneo ya kitonga
Maeneo ya kitonga ni wapi huko??Nenda chanika mvuti uko utakuta kila kitu kipo swa au maeneo ya kitonga
Unamanaisha kwamba ukienda huko ni rahisi kupata vibali?Nenda chanika mvuti uko utakuta kila kitu kipo swa au maeneo ya kitonga