Biashara ya Mchanga

Biashara ya Mchanga

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Posts
5,329
Reaction score
5,024
Wakuu mpo?

Kuna biashara ya kuuza mchanga kwenye malori, kuna watu wananunua pande la ardhi lenye mchanga, kisha wanaomba kibali cha kuuza mchanga. Jamaa anakaa ktk pande lake akikusanya hela kwa kila Lori. Inalipa vizuri na italipa zaidi huko mbeleni. Mapande bado yapo mengi kando ya jiji letu la Dsm.
 
Malaria - huku wanafanya the same lakini wanachouza ni moram ya kujengea barabara. Sad thing i after a while hizo site zinakuwa ni environmental hazards! Unless mtu anauza mchanga ili aje apageuze bwawa samaki, hiyo biashara may not be viBle for the long run hasa Kama tunaharibu mazingira kwa speed kama nnayoiona Arusha.
 
Huku Dar biashara hiyo imepamba moto vibaya, kwa sasa hakuna jinsi ya kuzuia kwa sababu serikali haijatenga maeneo ya kuchimba mchanga. Unafikiri kwa sasa kuna mbadala wa biashara hiyo? na ujenzi ndio kwanza unaanza kupamba moto.
 
Back
Top Bottom