Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

Sina taarifa kamili but najua kuwa ni biashara nzuri sana;
 
Hata mimi na m5 natafuta wazo la biashara niaachane na vibarua vya watu
 
Huo mtaji ni mkubwa sana,nina marafiki ambao wanafanya biashara kule wameanza na mtaji chini ya huo lakini sasa hivi wameshaimalika,cha msingi umpate mtu anayeweza kukusaidia ukiwa unaendelea kuzoea mazingira,pia ni vizuri kwenda kwanza ukaone mazingira,mchele huuzwa sana kasumbalesa,kitwe na lusaka
 
mandigo, Nami nime lisikia hilo la Kitwe na Kasumbaresa kua biashara ipo sana na pia pesa yao Kwacha ipo vzr
 
Km huto jali,ni connect na jamaa yako aliopo kule mkuu
 
Usikurupuke dear, nimefanya hiyo biashara soko langu lilikuwa kapiri na mpongwe! Before ilkuwa nzuri Sasa kuna challenge nyingi nimerudi bongo kule naenda tu kupeleka vitu kwa order!

Aliyekuelekeza akupe soko! Na iwe cash and carry Sio unapeleka mzigo unakaa siku 10 hotel unamaliza faida unarudi na msingi tu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtaj n mdogo sanaa kwa kujumlisha nakod kali ya kwenda nje
Sio mdogo mkubwa! Si wazoefu tulikuwa tunalipia largage tuuu! Zambia kuingiza chakula Hawa na shida ila shida IPO upande wa Tanzania! Wakuda mnooo mi nilikuwa nasafirisha na Teen maana gari utakutana nao Tunduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Shida wazambia wanapenda vitu vizuri lakini kwao kutoa pesa ni tatizo. Yani unaishia kukopesha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inalipa ila uwe na customer base yani ujue utamuuzia nani na pia uwe na subra uchumi wa Zambia upo chini kidogo ukilinganisha na TZ. Customers wako wawe waajiriwa. Maanake hao malipo ni mwisho wa mwezi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…