Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu
Wanajamvi,
Naomba ushirikiano katika ushauri wenu wa biashara hii ya Mchele. Kutoa pale Mbeya kupeleka Zambia kwa mtaji wa Milioni 5, nimesikia kua Zambia biashara hii inalipa
Usikurupuke dear, nimefanya hiyo biashara soko langu lilikuwa kapiri na mpongwe! Before ilkuwa nzuri Sasa kuna challenge nyingi nimerudi bongo kule naenda tu kupeleka vitu kwa order!
Aliyekuelekeza akupe soko! Na iwe cash and carry Sio unapeleka mzigo unakaa siku 10 hotel unamaliza faida unarudi na msingi tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Broh naomba hata namba yako au nichek Mimi Niko Tz 0758079227Usiogope kaka niko huku mara nyingi nimekuwa na mizunguko ya Ndola,Kitwe, Mfulira na kasumbalesa,mchele wa Tanzania ndio biashara, wenyewe wanaita Nakonde Rice., jipe ujasiri ingia sokoni mengine utakabiliana nayo, njiani ila ni vema pia ukapata kitambulisho cha freeborder trade cha comesa pale Nakonde border nadhani itakurahisishia zaidi kufanya biashara zako kitambulisho ni kama 350 kwacha. Kama tsh 54000 au 60000 hivi.
Usiogope face ua fear.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuufufue uzi tupate updates
Walikufanya nini?Ile border ya Nakonde ni full miyeyusho
Nalog off
Walizingua deal langu la kuwapeleka Warundi kule South AfricaWalikufanya nini?
Ha ha ha ulikuwa dalaliWalizingua deal langu la kuwapeleka Warundi kule South Africa
Nalog off
Nilikuwa nawavukisha mpaka basiHa ha ha ulikuwa dalali
Nenda mwenyewe. Katafute rafiki utafanikiwa..Km huto jali,ni connect na jamaa yako aliopo kule mkuu
GreatUsikurupuke dear, nimefanya hiyo biashara soko langu lilikuwa kapiri na mpongwe! Before ilkuwa nzuri Sasa kuna challenge nyingi nimerudi bongo kule naenda tu kupeleka vitu kwa order!
Aliyekuelekeza akupe soko! Na iwe cash and carry Sio unapeleka mzigo unakaa siku 10 hotel unamaliza faida unarudi na msingi tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro nimekuchek pmIle border ya Nakonde ni full miyeyusho
Nalog off
Sawa mkuuuBro nimekuchek pm
Poa nduguSawa mkuuu
Nalog off
Uko na connection ya biashara ya mazao zambia unipatieHuo mtaji ni mkubwa sana,nina marafiki ambao wanafanya biashara kule wameanza na mtaji chini ya huo lakini sasa hivi wameshaimalika,cha msingi umpate mtu anayeweza kukusaidia ukiwa unaendelea kuzoea mazingira,pia ni vizuri kwenda kwanza ukaone mazingira,mchele huuzwa sana kasumbalesa,kitwe na lusaka