Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

Usiogope kaka niko huku mara nyingi nimekuwa na mizunguko ya Ndola,Kitwe, Mfulira na kasumbalesa,mchele wa Tanzania ndio biashara, wenyewe wanaita Nakonde Rice., jipe ujasiri ingia sokoni mengine utakabiliana nayo, njiani ila ni vema pia ukapata kitambulisho cha freeborder trade cha comesa pale Nakonde border nadhani itakurahisishia zaidi kufanya biashara zako kitambulisho ni kama 350 kwacha. Kama tsh 54000 au 60000 hivi.
Usiogope face ua fear.
Wanajamvi,

Naomba ushirikiano katika ushauri wenu wa biashara hii ya Mchele. Kutoa pale Mbeya kupeleka Zambia kwa mtaji wa Milioni 5, nimesikia kua Zambia biashara hii inalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lodge huku ni ghali sana chumba cha kwacha 150 yaani tsh 25,000 kwa usiku mmoja ni chumba cha tsh 3500 huko Nyumbani yaani choo cha nje na ni kitanda tu tena kikiwa kizuri mshukuru Mungu other wise chumba ni kuanzia 40000 kwa usiku mmoja ambapo ni kitanda na choo cha ndani ila pia sio kitanda kama vyetu huko Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broh naomba hata namba yako au nichek Mimi Niko Tz 0758079227
 
Great
 
Uko na connection ya biashara ya mazao zambia unipatie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…