stan john Member Joined Feb 17, 2022 Posts 76 Reaction score 81 Sep 13, 2023 #41 ualimu wito said: Gunia 10 kwa maana ya kilo 1000? Na pia grade gani unahitaji? Supa au wa kawaida. Tunaweza kuwasiliana PM kama hautajali. Click to expand... Njoo dm
ualimu wito said: Gunia 10 kwa maana ya kilo 1000? Na pia grade gani unahitaji? Supa au wa kawaida. Tunaweza kuwasiliana PM kama hautajali. Click to expand... Njoo dm
stan john Member Joined Feb 17, 2022 Posts 76 Reaction score 81 Oct 29, 2023 #42 BiasharaMafanikio-Athanas said: Habari mkuu, mimi nafanya biashara ya mchele lakini soko kwangu ni mtihani sana, kama uko tayari tufanye biashara ya mchele kutoka wilaya ya Songwe pembezoni mwa ziwa Rukwa niwe nakuletea mchele Dar. Ahsante Click to expand... Nahitaji mchele nipo dar
BiasharaMafanikio-Athanas said: Habari mkuu, mimi nafanya biashara ya mchele lakini soko kwangu ni mtihani sana, kama uko tayari tufanye biashara ya mchele kutoka wilaya ya Songwe pembezoni mwa ziwa Rukwa niwe nakuletea mchele Dar. Ahsante Click to expand... Nahitaji mchele nipo dar