stan john
Member
- Feb 17, 2022
- 76
- 81
Njoo dmGunia 10 kwa maana ya kilo 1000?
Na pia grade gani unahitaji? Supa au wa kawaida.
Tunaweza kuwasiliana PM kama hautajali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo dmGunia 10 kwa maana ya kilo 1000?
Na pia grade gani unahitaji? Supa au wa kawaida.
Tunaweza kuwasiliana PM kama hautajali.
Nahitaji mchele nipo darHabari mkuu, mimi nafanya biashara ya mchele lakini soko kwangu ni mtihani sana, kama uko tayari tufanye biashara ya mchele kutoka wilaya ya Songwe pembezoni mwa ziwa Rukwa niwe nakuletea mchele Dar.
Ahsante