hii ipoje mkuu fafanua kidogoUsisahau kuupaka mafuta maana ukikaa sana wale wadudu wenye harufu mbaya kama jasho la beberu watazaliana na kuharibu ladha ya mchele.
Kama nilivyosema ukipaka mafuta kabla ya kuuhifadhi unaukinga na hatari ya kuoza na kubungua kisha kupata funza wataozaa wale wadudu wenye harufu kama mbuzi beberu ukiwapasua kidoleni. Haujawahi kuwaona hao vijidudu wadogo size ya sisimizi.hii ipoje mkuu fafanua kidogo
nimekupata mkuu mafuta ya aina ganiKama nilivyosema ukipaka mafuta kabla ya kuuhifadhi unaukinga na hatari ya kuoza na kubungua kisha kupata funza wataozaa wale wadudu wenye harufu kama mbuzi beberu ukiwapasua kidoleni. Haujawahi kuwaona hao vijidudu wadogo size ya sisimizi.
Korie. Ya nazi pia mazuri ila ni gharama upatikanaji wake. Ya alizeti unaweza tumia ila shida yanakuwa na ile harufu ya alizeti.n
nimekupata mkuu mafuta ya aina gani
Kwani gunia 1 la mchele linaweza kuhitaji kiasi gan cha mafuta??Korie. Ya nazi pia mazuri ila ni gharama upatikanaji wake. Ya alizeti unaweza tumia ila shida yanakuwa na ile harufu ya alizeti.
So option nzuri ni mafuta ya kawaida ila yanabei sana sasa huko mkoani. Kindoo kidogo kinacheza 60,000 hadi 75,000 baadhi ya maeneo. Nani anataka hizo hasara.