Biashara ya mchele

Biashara ya mchele

Genchi

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
94
Reaction score
45
Wadau habar? Nimepata wazo la kufanya bishara ya mchele/mpunga.
Kama kuna mdau humu anaifanya naomba ushauri ;
Je ipi bora zaid
Kununua mpunga kuweka store kisha unauza badae?

Kununua mchele mkoani na kusafirisha dar kuuza?

Au ipi njia nyingine bora ya kufanya hii biashara?

Ahsanten kwa wote mtakaonishaur[emoji120]
 
Usisahau kuupaka mafuta maana ukikaa sana wale wadudu wenye harufu mbaya kama jasho la beberu watazaliana na kuharibu ladha ya mchele.
 
Kama bado unahitaji hii biashara ,mpunga ndio unatolewa shambani sasa
 
hii ipoje mkuu fafanua kidogo
Kama nilivyosema ukipaka mafuta kabla ya kuuhifadhi unaukinga na hatari ya kuoza na kubungua kisha kupata funza wataozaa wale wadudu wenye harufu kama mbuzi beberu ukiwapasua kidoleni. Haujawahi kuwaona hao vijidudu wadogo size ya sisimizi.
 
n

nimekupata mkuu mafuta ya aina gani
 
n

nimekupata mkuu mafuta ya aina gani
Korie. Ya nazi pia mazuri ila ni gharama upatikanaji wake. Ya alizeti unaweza tumia ila shida yanakuwa na ile harufu ya alizeti.

So option nzuri ni mafuta ya kawaida ila yanabei sana sasa huko mkoani. Kindoo kidogo kinacheza 60,000 hadi 75,000 baadhi ya maeneo. Nani anataka hizo hasara.
 
Sina mtaji mkubwa ila kwa wenye mzigo mchele, karibu tufanye biashara leta mzigo tuuze
 
Korie. Ya nazi pia mazuri ila ni gharama upatikanaji wake. Ya alizeti unaweza tumia ila shida yanakuwa na ile harufu ya alizeti.

So option nzuri ni mafuta ya kawaida ila yanabei sana sasa huko mkoani. Kindoo kidogo kinacheza 60,000 hadi 75,000 baadhi ya maeneo. Nani anataka hizo hasara.
Kwani gunia 1 la mchele linaweza kuhitaji kiasi gan cha mafuta??
 
Back
Top Bottom