Biashara ya miguu ya kuku na vichwa

MOMPRENEUR

Senior Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
195
Reaction score
126
Nataka nianze hii biashara.Naomba anaefahamu wanapouza miguu na vichwa vya kuku kwa jumla anipe muongozo.Au aliyewahi kuifanya hii biashara.Eneo la biashara ni Mwanza
 
Mkuu we nenda mahotelini, kaweke oda huko, mida ya jioni jioni kwenye vituo vya daladala, watu wanapiga hela mbaya, Kwa kuuza miguu ya kuku, mapafu ya mbuzi , ng'ombe, makongoro, ulimi pamoja na mapumbu ya mbuzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…