MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 195
- 126
Nataka nianze hii biashara.Naomba anaefahamu wanapouza miguu na vichwa vya kuku kwa jumla anipe muongozo.Au aliyewahi kuifanya hii biashara.Eneo la biashara ni Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukranSiri kuu ya mafanikio ya biashara hii ni USAFI.
Okmuulize Kiduku Lilo ndo mtaalamu
Usio suala lakuchagua biashara ni suala la mtaji inabidi ujiongeze kujua hivyo.kwanini usiuze kuku wa kukaanga badala ya hiyo miguu?