Biashara ya Mihogo Mibichi

Biashara ya Mihogo Mibichi

sheby dunia

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
78
Reaction score
83
Wakuu habari vipi?

Nataka nianzishe biashara ya kuuza mihogo kutoka kijijini hadi sokoni.

Mwenye uzoefu wa biashara hii tafadhali.

1622200544125.png

 
Anza wewe kabisa upate uzoefu uje kutuhabarisha maana watu wako kimya.

Fanya utafiti kwa wamama wauza Mihogo.
 
Back
Top Bottom