Biashara ya mihogo

Biashara ya mihogo

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
460
Reaction score
299
Habar za humu wakuu ,,,

Mimi mwenyez mungu akipenda nakusudia kujihusisha katika biashara ya Mihogo

Ninaomba wale wazoefu wanipe muongozo ...masoko yanapatikanaje na kipi n bora kuuza mwenyew au via madalal ...kipi cha kujiepusha nacho

Ninaomben muongozo wajuz .....pia ka kuna dalal wa kaz izo tutafutane

0685580057
 
Hata mimi nasikilizia majibu ya kina kutoka kwa wajuzi wa mambo na wenye taarifa sahihi, mimi naanza mavuno sept2018.
 
Back
Top Bottom