Habar za humu wakuu ,,,
Mimi mwenyez mungu akipenda nakusudia kujihusisha katika biashara ya Mihogo
Ninaomba wale wazoefu wanipe muongozo ...masoko yanapatikanaje na kipi n bora kuuza mwenyew au via madalal ...kipi cha kujiepusha nacho
Ninaomben muongozo wajuz .....pia ka kuna dalal wa kaz izo tutafutane
0685580057