frank ngowi
Member
- Aug 4, 2018
- 6
- 4
habari za muda huu wana JF,
Naomba kuuliza kwa biashara ya mikate ya jumla inahitaji mtaji kama kiasi gani na vipi kwa wenye experience inalipaa? yaani ni ile nainunua na kufanya delivary kabisa kwenye madukaa..ahsanteni na naomba ushirikiano wenu