Biashara ya mil 3

Biashara ya mil 3

Strong

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
515
Reaction score
454
wapendwa habari zenu naomba mnipe ushauri milioni 3 nianzishe biashara gani ndani ya mbeya
 
Anzisha bishaya ya Mpesa.. Tsh 500K nunua laini Tsh 500K lipa kodi ya eneo Tsh 2000K zungusha.. Mingo nzuri unaweza kupata kila mwezi TZS 500K profit
 
Anzisha bishaya ya Mpesa.. Tsh 500K nunua laini Tsh 500K lipa kodi ya eneo Tsh 2000K zungusha.. Mingo nzuri unaweza kupata kila mwezi TZS 500K profit
thanx ndugu yangu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom