Biashara ya mitumba inavyoua viwanda vyetu

Biashara ya mitumba inavyoua viwanda vyetu

Mkuu hizi nguo special ni gharama sana kwa wa tz wengi ..mitumba inasaidia kwa kwel
 
Hamna viwanda hapa. T-shirt tu ukifua mara mbili imeshafubaa. Quality zero,
 
Sasa nguo zinatolewa bure ulaya huku twauziwa beeeeeeeeei kubwa,kutajirisha watu kwa pamba zetu
 
Mitumba ni nguo bora kwa wakati wote,,,hasa ukiipata yenye ubora.
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza mkuu, kama viwanda vikiwa na pamba kali wala haitatumika nguvu kubwa kuzuia mitumba, itakosa wavaaji na itaacha kuagizwa., quality ya nguo za kwetu ni zero.
 
Back
Top Bottom