Biashara ya Mitumba

Einsten

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
921
Reaction score
795
Habari wana Jamvi natumai wazima,

Ningependa kujua utokaji wa nguo za mtumba za wadada cotton BLOUSE nataka niagize Belo China Grade A ila sijajua kama zinapendwa sana au kama zipo zinazopendwa naombeni ushauri wenu.
 
Wajuzi wanakuja
 
Biashara ya mitumba nimewahi ifanya ila nilikuwaga nachukulia pale mnazi mmoja Belo, ukibahatika unaweza kuapa kutoiacha ila ikienda vibaya utailaani kabisa.
 
Reactions: naa

wekeni maudambwi udambwi maana nataka nijilipue kuchukua mzigo china ata belo 3 za kuanzia hasa nguo za ladies na watoto
 
Apa na mm nasubiri comment zenu. Nioo mbioni kuanza biashara hii
 
wekeni maudambwi udambwi maana nataka nijilipue kuchukua mzigo china ata belo 3 za kuanzia hasa nguo za ladies na watoto
Za watoto sikushauri zinakata vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…