Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajuzi wanakujaHabari wana Jamvi natumai wazima,
Ningependa kujua utokaji wa nguo za mtumba za wadada cotton BLOUSE nataka niagize Belo China Grade A ila sijajua kama zinapendwa sana au kama zipo zinazopendwa naombeni ushauri wenu.
wekeni maudambwi udambwi maana nataka nijilipue kuchukua mzigo china ata belo 3 za kuanzia hasa nguo za ladies na watotoBiashara ya mitumba nimewahi ifanya ila nilikuwaga nachukulia pale mnazi mmoja Belo, ukibahatika unaweza kuapa kutoiacha ila ikienda vibaya utailaani kabisa.
Za watoto sikushauri zinakata vibaya mnowekeni maudambwi udambwi maana nataka nijilipue kuchukua mzigo china ata belo 3 za kuanzia hasa nguo za ladies na watoto
Kuna uzi humu wakuu utafuteniApa na mm nasubiri comment zenu. Nioo mbioni kuanza biashara hii