Biashara ya miwa

Biashara ya miwa

Mtoto mkubwa

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
68
Reaction score
23
Wakuu nataka kufanya biashara ya miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. ko nlikua naomba kwa anaefahamu anijuze kama ntachukua vijana wa kuniuzia niwape mtaji na kokoteni kwa siku huwa wanaleta shngap na biashara inaendaje kwa ujumla.

Ahsanteni..
 
Wakuu nataka kufanya biashara ya miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. ko nlikua naomba kwa anaefahamu anijuze kama ntachukua vijana wa kuniuzia niwape mtaji na kokoteni kwa siku huwa wanaleta shngap na biashara inaendaje kwa ujumla. Ahsanteni..
Nenda Sido nunuwa machine ya kukamuwa sugar cane juice utapiga ela vizuri tu.

Tafuta center nzuri.
 
Unataka kufanya hiyo biashara mkoa gani? Fafanua tukupe muongozo
 
Back
Top Bottom