Msanii Mataluma aliye wahi kubamba na ngoma zake kama vile ,mama mubaya, na kariakoo ameamua kurudi rasmi kwenye mziki baada ya biashara iliokuwa ikimuweka hapa mjini ya kuuza mkaa kumdodea
Mataluma amepanga kurudi na ngoma alizomshirikisha man fongo na msaga sumu na huku akiongea kwa kujiamini na uso uliojaa bashasha Mataluma ametamba kuwa amekuja kuchukua nafasi yake kwa kuwa ameona hamna mtu aliyeweza kuishika nafasi yake ipasavyo