Biashara ya mkaa imedoda narudi kwenye mziki

Biashara ya mkaa imedoda narudi kwenye mziki

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Msanii Mataluma aliye wahi kubamba na ngoma zake kama vile ,mama mubaya, na kariakoo ameamua kurudi rasmi kwenye mziki baada ya biashara iliokuwa ikimuweka hapa mjini ya kuuza mkaa kumdodea


Mataluma amepanga kurudi na ngoma alizomshirikisha man fongo na msaga sumu na huku akiongea kwa kujiamini na uso uliojaa bashasha Mataluma ametamba kuwa amekuja kuchukua nafasi yake kwa kuwa ameona hamna mtu aliyeweza kuishika nafasi yake ipasavyo

1473959134002.png
 
Sipendi visingeli mimi!sas hiv kila mwanamzik anawashirikisha hawa visingeli
Mxiieeeuuu
Ushindww na ulegee huu mziki
 
Back
Top Bottom