benny gilbert
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 110
- 65
Nataka nifanyie maeneo ya chuo kabsa mkuu.Usiogope anza kikubwa utafiti kuhusu upatikanaji wa wateja
Una akili kubwa mkuu.Kutegemea na chuo kama si wabahili jaribu hyo.Habari wana jukwaa. Nimewaza kwa kina nikaona fuksa ni kuuza movie maeneo ya chuo kwakuwa wanafunzi ni wanapenda sana movie. Sijajua kama nipo saivi katika biashara kwa sehemu kama ya chuo.
Naomben ushauri....
Watu wana download mkuu
Nimechukua hili mkuu.Safi sana mkuu,watoto wakike wengi wachuo wanapenda korean movies za mapenzi sana sana
Thanks mkuuUna akili kubwa mkuu.Kutegemea na chuo kama si wabahili jaribu hyo.
Mkuu ukiipata utanistua nije kuichukua kwako mi nitakupa hobbits ninayo.Mimi nitakua mteja wako wa kwanza naitafuta the lord of the rings..kama unayo let's do business
Mkuu Mimi mwenyewe sina hiyo lord of the ringsMkuu ukiipata utanistua nije kuichukua kwako mi nitakupa hobbits ninayo.
Thanks browazo zuri ila wengi huwa wana download kwahiyo ni changamoto sana kikubwa fanya utafiti ujue je wanauwezo wa ku download ka kulivyokuwa twafanya sie zamani kipindi pando ilikuwa bei chee. ka watakuwa hawadownload kwa kasi unaweza kuona ni fursa sahihi na wewe kuanza kutafuta zile mpya mpya na kuanza kuweka sokoni.
angalizo la copyright
Thanks mkuu kwa angalizoChuo km DIT nakushauri usiguse utatoka patupu kuna wataalaam wa ku download wanashinda na kukesha kwa kazi hiyo
Hii mov nnayo kwanzia ya kwanza had ya mwishoMkuu ukiipata utanistua nije kuichukua kwako mi nitakupa hobbits ninayo.
Ulikilua unataka ya ipi ndugu maana nnazo hizi na zinatoka kama seriaseMimi nitakua mteja wako wa kwanza naitafuta the lord of the rings..kama unayo let's do business
Reasons why unishauri mkuu. AsanteKwa chuo sikushauri kabisa, jaribu maeneo mengine