Biashara ya Movie(softcopy)

Biashara ya Movie(softcopy)

benny gilbert

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
110
Reaction score
65
Habari wana jukwaa. Nimewaza kwa kina nikaona fuksa ni kuuza movie maeneo ya chuo kwakuwa wanafunzi ni wanapenda sana movie. Sijajua kama nipo saivi katika biashara kwa sehemu kama ya chuo.

Naombeni ushauri.
 
Safi sana mkuu,watoto wakike wengi wachuo wanapenda korean movies za mapenzi sana sana
 
Habari wana jukwaa. Nimewaza kwa kina nikaona fuksa ni kuuza movie maeneo ya chuo kwakuwa wanafunzi ni wanapenda sana movie. Sijajua kama nipo saivi katika biashara kwa sehemu kama ya chuo.

Naomben ushauri....
Una akili kubwa mkuu.Kutegemea na chuo kama si wabahili jaribu hyo.
 
wazo zuri ila wengi huwa wana download kwahiyo ni changamoto sana kikubwa fanya utafiti ujue je wanauwezo wa ku download ka kulivyokuwa twafanya sie zamani kipindi pando ilikuwa bei chee. ka watakuwa hawadownload kwa kasi unaweza kuona ni fursa sahihi na wewe kuanza kutafuta zile mpya mpya na kuanza kuweka sokoni.

angalizo la copyright
 
Chuo km DIT nakushauri usiguse utatoka patupu kuna wataalaam wa ku download wanashinda na kukesha kwa kazi hiyo
 
wazo zuri ila wengi huwa wana download kwahiyo ni changamoto sana kikubwa fanya utafiti ujue je wanauwezo wa ku download ka kulivyokuwa twafanya sie zamani kipindi pando ilikuwa bei chee. ka watakuwa hawadownload kwa kasi unaweza kuona ni fursa sahihi na wewe kuanza kutafuta zile mpya mpya na kuanza kuweka sokoni.

angalizo la copyright
Thanks bro
 
Back
Top Bottom