Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 58
wana jamvi nahitaji kufungua biashara ya mpesa na airtel money! nina milioni 4 cash...naomba mwenye uzoefu na kazi hii anipe mchanganuo wa huo mtaji na kama kuna faida ya kutosha nitakayopata kulingana na mtaji huo...Nawasilisha
Wabongo bwana..ivi mtu ukishapata ki mtaji kidgo tu all u think ni mpesa/tigopesa ?? Kwan hamna fursa zingine ?? Acha hzo biashara za kuiga watu.
wana jamvi nahitaji kufungua biashara ya mpesa na airtel money! nina milioni 4 cash...naomba mwenye uzoefu na kazi hii anipe mchanganuo wa huo mtaji na kama kuna faida ya kutosha nitakayopata kulingana na mtaji huo...Nawasilisha
Naona senior umenipiga jungu! poa bwana
Mkuu kama unaweza kupata eneo zuri la biashara kama stendi ya mabasi, karibu na hostels ama sehemu ya biashara iliyochangamka , nenda tu vodashop watakupa mtiririko wa maana na utafurahi!
Mkuu kama unaweza kupata eneo zuri la biashara kama stendi ya mabasi, karibu na hostels ama sehemu ya biashara iliyochangamka , nenda tu vodashop watakupa mtiririko wa maana na utafurahi!
Na mtaji huo unaweza uka fungua a small restaurant ukiuza vyakula/chips utapiga hela nzuri tu kuliko hyo mpesa/tigopesa. Kuna sister flan namjua kajenga nyumba hvi hvi ki utani utani na hyo business issue upate eneo sahihi. Na usidanganywe kwamba hyo kazi wanafanya akna dada tu. NO !!! Waweza ajiri binti mmoja au wawili wakakusaidia. All i'm saying is u need to be creative. #Goodluck.