Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 58
wana jamvi nahitaji kufungua biashara ya mpesa na airtel money! nina milioni 4 cash...naomba mwenye uzoefu na kazi hii anipe mchanganuo wa huo mtaji na kama kuna faida ya kutosha nitakayopata kulingana na mtaji huo...Nawasilisha