Biashara ya Mpira inavyoanza kuigharimu Simba

Mimi sina shida sana na kuuzwa kwa Miqueson....
Ila kumuuza CHAMA ilikuwa ni kosa kubwa ....
Jamaa alikuwa anaituliza timu...unaona kabisa anachotumia ndani ya 18 wakati stickers wengine wanajipanga haraka...
 
Huijui biashara ya mpira na wachezaji.
 
Mimi sina shida sana na kuuzwa kwa Miqueson....
Ila kumuuza CHAMA ilikuwa ni kosa kubwa ....
Jamaa alikuwa anaituliza timu...unaona kabisa anachotumia ndani ya 18 wakati stickers wengine wanajipanga haraka...
kwani biashara ni nini, si ni kununua na kuuza? tambua kuna maisha baada ya Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…