MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Asante sana mkuu vipi mpunga gunia unakuwaga na kilo ngapi na huwa unatoa mchele kilo ngapi?Biashara ni nzuri ukizingatia idadi kubwa ya watu mjini Dodoma.
Mpunga upo kwa wingi wilayani Bahi (50km toka Dom) na Kondoa.
Usafiri upo 24/7 (malori tupu toka mikoa/nchi jirani)
Gharama ya kukoboa ni ya kawaida kutegemea na gunia ulizonazo
Gunia la mpunga linakuwa na kilo 90 hadi 100 kulingana mpimaji wakati wa kujaza na likikobolewa linatoa kilo 60+ za mchele.asante sana mkuu vipi mpunga gunia unakuwaga na kilo ngapi na huwa unatoa mchele kilo ngapi?
na gharama ya usafiri huwa sh ngapi?
shukrani mkuu wa ushauriMkuu biashara ya kununua mpunga na kuukoboa ni biashara inayohitaji uzoefu sana.lazma ujue upate mtu anaejua mpunga wa kutoa mchele mzuri maana unaweza ukanunua mpunga kwa bei kubwa halafu ukatoa chenga za vitumbua ..Nkushauri kama hauna uzoefu wa hilo zao bas mtafute mtu awe anakunnulia kwa ...Bahi na morogoro ni kalibu