Wadau bila shaka mpo vizuri sana,
Naomba mwenye uzoefu na biashara ya kununua mpunga na baadaye kuja kuuza, kwani nipo maeneo ambayo mpunga upo wa kutosha sana na bei yake ni ndogo sana, hii ni fursa naombeni changamoto kwa wazoefu?
Sent using
Jamii Forums mobile app