Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimanjarowap mpunga bei juu?
Bei gani ?Nina gunia 40 zipo Songea anayehitaji aje DM
Jambo la kwanza ni kujua soko liko wapi.Kuna sehemu ambayo mpunga bei ipo chini kwa kuwa miundombinu ni mibovuWadau bila shaka mpo vizuri sana,
Naomba mwenye uzoefu na biashara ya kununua mpunga na baadaye kuja kuuza, kwani nipo maeneo ambayo mpunga upo wa kutosha sana na bei yake ni ndogo sana, hii ni fursa naombeni changamoto kwa wazoefu?
Sent using Jamii Forums mobile app