Wakuu mnaonaje biashara ya mterial za shule kwa hii january! Kama vile mashat ya shule madaftari,soksi na viatu, masweta? Inaweza kutoka na itahitaji kiasi gani cha majadirio ya haraka.
Ila kwa ufupi ni kwamba umechelewa sana . Wanafunzi wengine wanafungua shule wiki ijayo.Na wengi hata mie wanangu tayari nimeishanunua nguo zao za Shule.
Hili wazo lingekuwa zuri kama biashara hii ungekuwa umeanza mwezi November.