Biashara ya msimu wa January!

Biashara ya msimu wa January!

millcent5

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Wakuu mnaonaje biashara ya mterial za shule kwa hii january! Kama vile mashat ya shule madaftari,soksi na viatu, masweta? Inaweza kutoka na itahitaji kiasi gani cha majadirio ya haraka.

Msaada wakuu.
 
Mie naweza kusema ni wazo zuri.

Ila kwa ufupi ni kwamba umechelewa sana . Wanafunzi wengine wanafungua shule wiki ijayo.Na wengi hata mie wanangu tayari nimeishanunua nguo zao za Shule.

Hili wazo lingekuwa zuri kama biashara hii ungekuwa umeanza mwezi November.
 
Back
Top Bottom