Biashara ya mtaji wa 1,500,000

Biashara ya mtaji wa 1,500,000

Next Elon Musk

Senior Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
115
Reaction score
87
Habari wanajamii, mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini ingizii pesa sasa nikawa nimepata mteja nafikiria kuuza pesa nifanye mtaji wa biashara kama 1.5 m.

Sasa nafikiria je, ni sawa niuze nifanye biashara na biashara ipi hasa pia iwe haitumii muda wangu sana au nipambane nitafute soko la graphics na how? At least niweze ku earn 300,000 kwa mwezi?
 
Mdogo wangu hunijui sikujui ushauri wangu USIUZE

Je unaweza kufanya nini? Na hiyo IT yako? Maana IT ni pana sana
Pili upo mkoa gani?
Tuanzie hapa?
Afu twende taratibu
 
Kama haingizi mkwabja uza tu , alafu kutokana na ubize uza vitu vyako online wateja wako wapo hapohapo chuoni angalia wanahitaji nini
 
Nenda bush Jenga Banda la nguruwe 200000
Nunua nguruwe Wadogo 10 Kwa elfu
50
Pesa Inayobaki fanya manunuzi ya chakula Cha nguruwe
Wauze Baada Ya Miezi 6 Kwa Laki 2
 
Back
Top Bottom