Biashara ya Mtaji wa Milioni 15

Kwa mtaji huo kwanza usi paniki,,kaa relax kidogo hata sku kazaa pita hapa na pale kusanya mawazo ya watu,,ingawaje wengi wata ona una hela ndefu so uta ingiza hela nyingi na kuwazibia rizki za wateja nk.
Lakini mwisho wa sku uta Pata Kipi Ni sahihi kwako kwani akili za kupewa Nawe ongeza na zakwako.
Uki taka kufanya biashara ina tegemea Uko wap na una taka ufanyie wapi Hiyo biashara.
Ila jambo ambalo Lita kusaidia hebu hiyo pesa usi wekeze yote,, jaribu kufungua biashara tofaut tofaut na kwa nyakati tofaut tofaut,, na kwa maeneo tofaut tofaut,, maana biashara wazoefu tuna zijua tibwili lake,,
Sio una Nunua mzigo eti una safirisha una fika njian una ambiwa gari ime haribika ina htaj million kutengeneza huna,, uta ishia kufa na Presha ungali kijana bure,, Fanya biashara bakisha kiasi cha fedha..........



Binafsi Nina fursa nyingi ninazo zifahamu ambazo uki jikita hapo huta juta kamwe.
Kama upo interested nitafute
0763885349
 
Ingia vijijini Anglia fursa mbalimbali kama kulima, kama hakuna umeme kuwa wakala wa nishati mbadala angalia hata kuimport bidhaa kutoka nje humu kuna wakala wa usafirishaji alishajitangaza
 
Ingia vijijini Anglia fursa mbalimbali kama kulima, kama hakuna umeme kuwa wakala wa nishati mbadala angalia hata kuimport bidhaa kutoka nje humu kuna wakala wa usafirishaji alishajitangaza
Hili wazo zuri
 
Pole kwa mizunguko kwa wiki nzima ndugu.

Katika suala la biashara ipi ufanye utapata mawazo mengi na bora sana hapa ila pengine yasiwezekane katika eneo ulilopo kwa sababu moja au nyingine, sina maana nataka kukuvunja moyo ila nataka ufungue macho yako uangalie na uone na umfungue na nduguyo pia. Ukitaka biashara ambayo itakulipa vizuri kama ukiisimamia ipasavyo ni biashara yeyote ambayo inatatua changamoto/matatizo ya jamii husika,

Angalia eneo unaloishi au unalotaka kuweka biashara yako je kuna changamoto yeyote? kama zipo ni zipi? Inafaa unaziainisha zote ulizoweza kuona(pia waweza uliza uliza majirani na marafiki) hakuna atayeelewa nini unatafuta baada ya hapo angalia ni jinsi gani unaweza kugeuza changamoto hizo kuwa fursa kwako na kama zipo tano au sita angalia ile inayokuvutia zaidi na ndio uione kama wazo lako la biashara hapo naamini utakua umepata wazo bora zaidi na utafika mbali.

hizi ni baadhi ya changamoto kwa maeneo mengi Afrika..

1. Njaa
2. Ukosefu wa ajira
3. Magonjwa
4. Elimu
5. Umeme
6. Uchafu
7. Usafiri
8. Malazi


Ukiweza kutumia vizuri haya matatizo niliyoorodhesha hapa unaweza kupata wazo bora zaidi na likakupeleka mbali. Kila la kheri ndugu pia kama uko na dukuduku tunaweza kuelezana zaidi hapa hapa kwa faida ya wengi SI INBOX.
 
Biashara ni pole pole,hakuna biashara utakayoanza ikupe faida kubwa kabla hujatengeneza jina,ndio mana watu wengi wanashindwa kwa sababu mtu ndio kwanza anaanza,hata uzoefu hana anakuwa na matarajio makubwa ya kupata faida kubwa,tengeneza kwanza mazingira hayo ya faida yatakuja mbeleni
 
tafuta sehemu kijijiini kwenye shida ya maji chimba kisima hlf weka lile dude la kuvuta maji kwa upepo tank zako za maana unakula pesa tu
 
mm nipo singida kuna biashara fulan amaizing kama kuna mtu ana mtaji wake na hajui pa kuupeleka
Usipoteze mda kumsaidia mtu ambaye tayari anajua nn cha kufanya,watu kama hao[emoji115] piga chini
 
Naomba mawazo yenu kuhusu biashara ninayoweza kufanya kwa mtaji wa TZS 15,000,000.

Nipo Mbeya Mjini.
 
Kwa usawa huu ni bora utunze tu. Subiri had magufuli atoke madarakan.

Usiposikiza ushaur wangu, utajuta sana
 
nioeni mawazo nipo mbeya mjini
Njooni tufanye biashara ya mtandao pamoja Na kampuni ya AIM GLOBAL. Nenda usikilize semina kwa mbeya zinatolewa utawekeza laki tano tu. Lakini utajenga biashara ya kukuingizia mamilioni. Kama unataka kufahamishwa zaidi nitafute kwa 0757409103
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…