Biashara ya Mtaji wa Milioni 15

Fanya biashara za pesa mtandaoni MF. M-pesa,tgo pesa n.k,pia uwakala wa pesa mf. Nmb Wakala n.k la sivyo tunza pesa yako mpk 2026
 
Njooni tufanye biashara ya mtandao pamoja Na kampuni ya AIM GLOBAL. Nenda usikilize semina kwa mbeya zinatolewa utawekeza laki tano tu. Lakini utajenga biashara ya kukuingizia mamilioni. Kama unataka kufahamishwa zaidi nitafute kwa 0757409103
Hizo biashara za pyramid wanufaika ni wale wa mwanzo mwanzo tu
 
nioeni mawazo nipo mbeya mjini
Ingia kwenye forex
Mtaji weka $1000
Target profit/day 5% of $1000= $50
Montly profits $50*22=$1100
Profit/Year= $1100*12=$13,200
In Tsh 13200*2200=29,040,000Tsh
 
Mie ninamtaji wa $100 nafanya forex sijutii kabisa
 
Tafiti bidhaa inayouzika vizuri katika nchi jirani kama Zambia,Malawi au Congo ili uwe unachukua bidhaa huku unapeleka huko
 
Fanya biashara za pesa mtandaoni MF. M-pesa,tgo pesa n.k,pia uwakala wa pesa mf. Nmb Wakala n.k la sivyo tunza pesa yako mpk 2026
Iv kwenye hizi biashara TRA makadirio yao ya kodi hapo vipi
 
njoo mtwara nunua shamba la mikorosho mwaka mmoja umerudisha hela yako, miaka inayofuatia unapiga faida tuuu hadi kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…