Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo biashara za pyramid wanufaika ni wale wa mwanzo mwanzo tuNjooni tufanye biashara ya mtandao pamoja Na kampuni ya AIM GLOBAL. Nenda usikilize semina kwa mbeya zinatolewa utawekeza laki tano tu. Lakini utajenga biashara ya kukuingizia mamilioni. Kama unataka kufahamishwa zaidi nitafute kwa 0757409103
Ingia kwenye forexnioeni mawazo nipo mbeya mjini
nafanya blogging(google adsense)Uliipataje hiyo kwanza ndo tujue tukushaurije
Kwan 2026 kuna nini? Huyu ni Rais wa maisha mkuu.Fanya biashara za pesa mtandaoni MF. M-pesa,tgo pesa n.k,pia uwakala wa pesa mf. Nmb Wakala n.k la sivyo tunza pesa yako mpk 2026
Kwanini usiwekeze kwenye hiyo hiyo biashara lakini kama unataka uanzishe biashara nyingine ni vizuri uwe na uwezo wakuisimamia ili usipigwe na mwajiri wakonafanya blogging(google adsense)
Iv kwenye hizi biashara TRA makadirio yao ya kodi hapo vipiFanya biashara za pesa mtandaoni MF. M-pesa,tgo pesa n.k,pia uwakala wa pesa mf. Nmb Wakala n.k la sivyo tunza pesa yako mpk 2026
Kwa usawa huu ni bora utunze tu. Subiri had magufuli atoke madarakan.
Usiposikiza ushaur wangu, utajuta sana
mkuu nilikupm kimyaNaomba mawazo yenu kuhusu biashara ninayoweza kufanya kwa mtaji wa TZS 15,000,000.
Nipo Mbeya Mjini.
mkuu nilikupmNaomba mawazo yenu kuhusu biashara ninayoweza kufanya kwa mtaji wa TZS 15,000,000.
Nipo Mbeya Mjini.
ni kweli mkuu, kile kilichomuwezesha kuipata hiyo huenda kikamsaidia kupata zaidi pia..Uliipataje hiyo kwanza ndo tujue tukushaurije
hee! kumbeeKwan 2026 kuna nini? Huyu ni Rais wa maisha mkuu.